Ubora wa Dar City, Fox Divas uko hapa
DAR City (DSM) na Fox Divas (Mara), zimeonyesha ubabe katika Ligi ya Kikaku ya Taifa (NBL), inayofanyika kwenye Uwanja wa Chinangali, Dodoma na kudhihirisha uwekezaji unalipa. Timu hizo ambazo zinatajwa kuwekeza katika kusajili wachezaji bora, Dar City iliyoanza uwekezaji huo mwaka 2022, ikishiriki ligi ya kikapu ya daraja la kwanza mkoa wa Dar es Salaam,…