Waombaji 14,433 wachaguliwa Veta 2026
Dodoma. Waombaji 14,433, miongoni mwao 134 wa elimu ya juu, wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta). Waliochaguliwa ni kati ya waombaji 18,875 waliowasilisha maombi wakitaka kujiunga na mafunzo hayo kwa mwaka 2026. Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Anthony Kasore, ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Desemba 23, 2025, alipozungumza…