WANAOPITA KUWASUMBUA WAJUMBE KUOMBA KURA, WAONYWA.
Na John Walter -Babati Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki, ametoa onyo kali kwa wale wanaotembea kuwashawishi wajumbe ili wawapigie kura kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani kabla ya muda rasmi wa mchakato wa uchaguzi kufika. Mdaki ametoa kauli hiyo wakati wa sherehe za miaka 48 ya CCM katika Kata…