Salumu Mwalimu aahidi neema ya viwanda Morogoro
Morogoro .Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimewataka wananchi wa Morogoro kujiandaa kunufaika na neema ya sera ya viwanda, kikiahidi kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa kitovu cha viwanda kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mlimba, Leo Jumanne Septemba 30, 2025, Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chaumma, Salum…