Watano wafariki dunia Russia, Ukraine zikikoleza vita

Kiev. Takriban watu watano wamefariki dunia katika majibizano ya makombora kati ya vikosi vya Russia na Ukraine, Ijumaa Januari 3, 2025. Miongoni mwa mashambulizi yaliyosababisha vifo hivyo ni shambulizi la kombora la Russia katika Jiji la Chernigiv nchini Ukraine. Tovuti ya The Guardian imeripoti kuwa kombora hilo lilirushwa na kupiga eneo la makazi na kusababisha…

Read More

ACT-Wazalendo yahofia kupuuzwa mageuzi sheria za uchaguzi, wagusia suala la Lissu

Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimeonyesha wasiwasi kuhusu kutoweka kwa matumaini ya kupatikana kwa mabadiliko na utekelezaji wa sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa baadaye Oktoba 2025. Kutoweka kwa matumaini hayo, kunatokana na kile kilichoelezwa na chama hicho kuwa, hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyoitoa bungeni jana Jumatano,…

Read More

Mbinu mpya kupunguza foleni ya mizigo bandarini

Dar es Salaam. Bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni imeshuhudia ongezeko la kasi ya uhudumiaji wa makontena, ikihudumia takribani makontena 100,000 ya futi 20  kwa mwezi ambayo ni  karibu asilimia 50 zaidi ya ujazo uliochakatwa mapema mwaka 2024. Ongezeko hilo, linalochochewa na kuongezeka kwa usafirishaji wa bidhaa kwenda nje ya nchi ikichochewa na msimu…

Read More

Mtoto aliyekatwa mguu amshukuru Samia kwa mguu wa bandia

Tunduma. ‘Hujafa, hujaumbika’ ndiyo kauli unayoweza kusema kwa mtoto Ebeneza Mwakasyele (8) aliyepoteza mguu wa kushoto mwaka 2019 na kutembelea magongo baada ya kukatwa kutokana na kuugua ugonjwa usiojulikana chanzo chake. Lakini hayo yote yamepita baada ya Ebeneza anayesoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi Tunduma mkoani Songwe kupata mguu wa bandia. Ebeneza alirejeshewa…

Read More

NDEJEMBI KUZINDUA KITUO CHA KUPOOZA UMEME CHENYE THAMANI YA BILIONI 9.7

  Na Mwandishi wetu – Dodoma. WAZIRI wa Nishati Deogratius Ndejembi anatarajia kuzindua kituo cha kupozea umeme cha Mtera ambacho kimejengwa kwa Fedha za Kitanzania shilingi bilioni 9.7. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma  Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy amesema kituo hicho kitasaidia kuongeza nguvu ya umeme hivyo kuwanufaisha…

Read More

Diwani wa zamani Kata ya Msasani, Neghesti achukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia CCM’

Aliyekuwa Diwani wa Msasani na mfanyabiashara maarufu, Bw Luca Hakim Neghesti, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigamboni. Bw Neghest ni mjasiriamali mwenye mafanikio, mwanzilishi wa taasisi mbalimbali zikiwemo Bongo5 Media na amekuwa na mchango mkubwa katika masuala ya maendeleo katika Kata ya Msasani. Bw…

Read More