MUHIMBILI MLOGANZILA YAPANUA WIGO WA MATIBABU YA KISUKARI
Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila imeanzisha huduma mbili mpya za ubingwa bobezi kwa wagonjwa wa kisukari, huduma hizo ni pamoja na huduma ya matibabu ya magonjwa ya miguu yatokanayo na ugonjwa wa kisukari pamoja na huduma ya kliniki maalum ya kisukari kwa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 25 maarufu huduma ya mpito. Kuanzishwa…