Maoni ya wadau nyongeza ya mshahara, kodi na elimu zatajwa

Dar es Salaam. Wadau wa sekta mbalimbali wameeleza maoni tofauti kuhusu ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma, lililotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Ongezeko hili la asilimia 35.1, ambalo litaanza kutumika Julai mwaka huu 2025, linatarajiwa kuleta mabadiliko katika maisha ya watumishi wa umma, huku wengine wakiunga mkono hatua hiyo…

Read More

KAMISHNA BADRU AWATAKA ASKARI WA JESHI LA UHIFADHI NCAA KUZINGATIA WELEDI KATIKA KAZI.

Na Mwandishi wetu, Pololeti Ngorongoro Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-razaq Badru amewataka askari wa uhifadhi katika Pori la Akiba la Pololeti Wilayani Ngorongoro kuzingatia maadili, weledi na matokeo ya kazi wanazozifanya ili kulinda hadhi ya jeshi hilo. Kamishna Badru ametoa rai hiyo alipokuwa katika ziara ya kikazi na kuzungumza…

Read More

CCM yateua mgombea Kwahani, mrithi wa Jokate

Unguja. Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemteua Khamis Yusuph Mussa kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha ubunge wa  Kwahani visiwani Zanzibar. Hatua hiyo imetokana na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kutangaza uchaguzi mdogo katika jimbo la hilo, baada ya aliyekuwa mbunge wake (CCM), Ahmada Yahya Shaa kufarini dunia Aprili…

Read More

RAIS DK.SAMIA HANA DENI LA MAENDELEO KWA WANNCHI WA MAGU

NA BALTAZAR MASHAKA, MAGU MBUNGE wa Magu(CCM),Bonventure Kiswaga amesema serikali ya awamu ya sita imeipatia wilaya hiyo zaidi ya sh.bilioni 107.294 za miradi ujenzi wa miundombinu ya maji,barabara,madaraja na elimu. Ametoa takwimu hizo kwa nyakati tofauti katika vijiji vya Kitumba,Igekemaja,Busekwa na Kanyama vya kata za Kisesa,Bujashi na Bujora,jana wakati akihutubia wananchi katika mikutano ya hadhara…

Read More