RPC Tabora athibitisha Kamwe kushikiliwa
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumshikilia Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe kwa tuhuma za kuwachafua viongozi wa serikali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethibitisha Kamwe anashikiliwa kuanzia jana usiku, kwa tuhuma hizo. Abwao amesema bado Kamwe yuko kizuizini akiendelea na mahojiano juu ya tuhuma hizo na taarifa zaidi zitatolewa baadaye. “Kweli…