Ukatili dhidi ya watoto kwenye vita umeongezeka sana 2023 – DW – 12.06.2024
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inaeleza ukatili dhidi ya watoto katika maeneo yaliokumbwa na migogoro kwa mwaka 2023 umefikia viwango vya juu kwa idadi isiyo ya kawaida ya mauaji na majeruhi kuanzia Israel na maeneo ya Palestina hadi Sudan, Myanmar na Ukraine. Ripoti ya kila mwaka ya Watoto walio katika Migogoro ya Kivita, inaonesha kunaongezeko…