
Rais wa Kenya asema yuko tayari kuzungumza na Gen-Z – DW – 23.06.2024
Maandamano hayo yaliandaliwa kwenye mitandao ya kijamii na kwa kushiriki maandamano hayo mabarabarani na vijana Wakenya wengi wenye umri mdogo maarufu kama ‘Gen-Z’ ambao wamekuwa wakipeperusha maandamano hayo moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii. Serikali ya Ruto imejikuta katika hali ya kuduwaa huku vijana hao wakiendelea kushinikiza kutoridhika kwao kuhusu sera za kiuchumi za…