KATIBU MKUU UWT AWAHIMIZA WANACHAMA KILOLO KUJITOKEZA KUPIGA KURA ZOTE KWA CCM
NA MWANDISHI WETU,KILOLO Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC), amewahimiza wanachama kujitokeza kwa wingi kupiga kura nyingi za ndio hata kama kuna sehemu kuna mgombea amepita bila kupingwa. Katibu Kunambi ameyabainisha hayo wakati wa mkutano wa ndani katika Kata ya Nyalumbu, Wilaya ya Kilolo,Mkoa…