Iko wapi nafasi ya viongozi wanawake Chadema?
Licha ya ahadi za kuboresha uwakilishi wa wanawake katika uongozi wa juu wa chama, matokeo ya uchaguzi wa hivi karibuni yanaendelea kuonyesha pengo la kijinsia. Ushindani mkali, ukosefu wa rasilimali na hofu ya kukabiliana na wagombea waliopo ni baadhi ya sababu zilizotajwa na vyanzo vya ndani kuhusu ni kwa nini wanawake hawakujitokeza kwa wingi kugombea…