Raia wa kigeni 7,000 wanaofanya biashara ndogondogo wakamatwa
Dar es Salaam. Baada ya kilio cha wafanyabiashara kuhusu kuwepo kwa raia wa kigeni wanaofanya biashara ndogondogo nchini Tanzania, Idara ya Uhamiaji limewakamata raia 7,069 wanaofanya shughuli hizo. Hatua ya kukamatwa kwao, kwa mujibu wa idara hiyo, imetokana na uchunguzi wa miezi minne kuanzia Januari hadi Aprili 2025, katika mikoa yote nchini. Hata hivyo, uchunguzi…