Mwenyekiti Chadema Jimbo la Iringa afariki dunia
Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Septemba 19, 2025. Nyalusi ambaye amewahi kuwa diwani Kata ya Mivinjeni, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa (2010 – 2020), amefariki duinia akipatiwa matibabu kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu (ICU), kwenye Hospitali…