Promota pambano la Mwakinyo afungiwa

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limemfungia promota Shomari Kimbau kujihusisha na shughuli za mchezo wa ngumi kwa kipindi cha miaka miwili. Mbali na Kimbau, BMT pia imeifungia Taasisi ya Ukuzaji wa Mchezo wa Ngumi iitwayo Promosheni Golden Boy Boxing yenye usajili namba 72 kutojihusisha na mchezo huo kutokana na kushindwa kufuata utaratibu wa Kamisheni…

Read More

Madiwani wawili wa upinzani Mchinga watimkia CCM

Mchinga. Madiwani wawili kutoka Kata za Milola na Rutamba zilizopo katika Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, wamehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuvutiwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo na unaofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Madiwani hao ni Hussen Kimbyoko kutoka Chama cha Wananchi (CUF) pamoja na Athumani Mmaije kutoka…

Read More

Makalla atwishwa kero nne Ilala, awataka watendaji kuzitatua

Dar es Salaam. Kero nne za barabara, ardhi, umeme na huduma za afya zimewasilishwa na wananchi wa Chanika wilayani Ilala, mbele ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla wakiomba kiongozi huyo kuwasaidia kuzitafutia ufumbuzi. Changamoto hizo zimewasilishwa leo Jumapili Julai 7, 2024 katika mkutano wa hadhara wa Makalla…

Read More

MRADI WA HEET WABORESHA MIUNDOMBINU YA SUA, MWENYEKITI WA BARAZA AFANYA ZIARA KAMPASI YA MIZENGO PINDA, KATAVI

MWENYEKITI wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mhe. Andrew W. Massawe, amefanya ziara rasmi katika Kampasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi tarehe 27 Oktoba 2025, kukagua maendeleo ya miradi ya miundombinu inayotekelezwa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Ziara hiyo pia imelenga kuimarisha ushirikiano kati ya…

Read More

GEAY: Nini Boston Marathon? Sasa ni zamu ya Olimpiki

UMEPITA mwezi mmoja tangu kufanyika kwa mashindano makubwa ya dunia ya mbio za Boston Marathon nchini Marekani, ambapo mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay alikuwa ni miongoni mwa nyota ambao walipewa nafasi kubwa ya kushinda. Hata hivyo, Geay ambaye alifanya vizuri mara mbili katika mbio hizo akimaliza wa nne mwaka 2022 kwa muda wa…

Read More

Tasac kuongeza nguvu kudhibiti uharamia wa meli

Dar es Salaam. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) limesema linaendelea kuimarisha mifumo yake ya ulinzi baharini kwa kutumia njia za kisasa ili kutokomeza uharamia wa meli zinazohudumiwa nchini. Hilo linafanyika ili kuvutia watu wengi kutumia bandari za Tanzania ambazo zimeendelea kifanyiwa uwekezaji ili ziweze kuhudumia meli nyingi na zenye uwezo wa kushusha shehena…

Read More