Kilichojiri kesi ya wanaodaiwa kumuua mwanafamilia

 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Februari 26, 2025, kuwasomea hoja za awali (PH) Sophia Mwenda (64) na mwanaye, Alphonce Magombola(36) wanaokabiliwa na kesi ya mauaji. Mwenda ambaye ni mkazi wa Mbagala anadaiwa kushirikiana na mtoto wake huyo wa kiume, kumuua Beatrice Magombola, ambaye ni binti yake wa kumzaa mwenyewe. Uamuzi huo…

Read More

WATAFITI WASHAURIWA KUCHAPISHA MATOKEO YA TAFITI KWA KISWAHILI ILI KUFIKIA JAMII

Farida Mangube, Morogoro  Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Mussa Ali Mussa, amewataka watafiti kuchapisha tafiti zao kwa Kiswahili ili kuhakikisha matokeo ya utafiti yanafika kwa jamii inayolengwa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa utafiti wa magonjwa yanayo ambukizwa kutoka Kwa wanyama kwenda kwa binaadamu unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo…

Read More

Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania Kimataifa

*Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati *Dk. Biteko ataja maono ya Rais Samia kiini cha ujio wa wawekezaji Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amekutana na Naibu Waziri wa Nishati wa Marekani, David Turk, kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo uwekezaji katika Sekta ya Nishati nchini. Mkutano huo…

Read More

Romain Folz rasmi atambulishwa Yanga

Klabu ya Yanga imemtambulisha Romain Folz kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2025-2026. Kocha huyo mwenye leseni ya UEFA Pro na CONBEL Pro, ametua Yanga kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Miloud Hamdi aliyetimkia Ismailia ya Misri baada ya kudumu kwa takribani miezi sita na kushinda ubingwa wa Ligi…

Read More

‘Nizalie nitakuoa’ neno lililozima ndoto za wengi

Dar es Salaam. Unaweza kujiona mwenye kismati na bahati ya kipekee katika dunia hii yenye wanawake zaidi ya bilioni 4, kwa wewe kuambiwa neno ‘nizalie nitakuoa’ na mwanamume unayempenda. Neno hili huja na sura ya unyenyekevu na upole, huku nia mbaya ikijificha kwenye kivuli cha upendo na mapenzi ya dhati. Maswali binafsi kama kwa nini…

Read More

Mnyika aipa Bavicha maagizo matatu

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika ametoa maelekezo kwa Baraza la Vijana wa Chama hicho (Bavicha) kubeba ajenda kuu za chama hicho ili kufikia malengo ya kuanzishwa kwake. Mnyika ametoa maelekezo hayo katika kikao kilichowaunganisha viongozi, makada na wafuasi wa chama hicho katika kujadili hali ya siasa…

Read More

Mnyika ataka utamaduni wa Chadema ulindwe

Shinyanga. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), John Mnyika amewataka wananchi wa Shinyanga kulinda haki na utamaduni wa Chadema wa kutetea haki badala ya kukimbilia ubunge. Mnyika ametoa kauli hiyo wakati kukiwa na vuguvugu la wanachama wa Chadema wanaojivua uachama wao kwa madai ya kutokubaliana na kaulimbiu ya chama hicho ya No…

Read More

BALOZI NCHIMBI AKOSHWA UTEKELEZAJI ILANI KIGOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameipongeza Serikali ya Mkoa wa Kigoma na Kamati ya Siasa mkoani humo, kwa utekelezaji wa viwango vizuri wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, ambapo ndani ya miaka 3 iliyopita takriban shilingi 1.4 trilioni zimepelekwa na kugusa nyanja zote za maendeleo kwa ajili ya wananchi….

Read More

Vituo vya afya vimeelewa mno huko Gaza – DW – 18.07.2024

Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema kuwa hospitali yake ndogo katika mji wa Rafah imekuwa ikipokea idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji kulazwa hospitalini kutokana na majeraha yanayosababishwa na mashambulizi. Shirika hilo la kimataifa limesema kuwa hospitali nyingi katika eneo hilo zimeelemewa, jambo ambalo litapelekea hivi karibuni madaktari kulazimika kufanya “maamuzi magumu” ya kuchagua…

Read More