Maji Ziwa Victoria kufanyiwa utafiti ubora wake

Mwanza. Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) inatarajia kufanya utafiti wa maji ya Ziwa Victoria ili kujua ubora wake yanayotegemewa na watu milioni 45 kwa nchi za Afrika Mashariki. Utafiti huo unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), utaanza hivi karibuni baada ya wataalamu kupewa mafunzo ya siku tatu ya namna ya kuufanya…

Read More

HAKIELIMU YAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI KUHUSU HALI YA UPATIKANAJI WA ELIMU BORA KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAKAZI DUNI NA YASIYO RASMI, MIJINI

NA EMMANUEL MBATILO, DODOMA SHIRIKA linalojihusisha na Elimu Tanzania, HakiElimu limezindua ripoti ya Utafiti kuhusu hali ya upatikanaji wa elimu bora kwa watoto wanaoishi katika Makazi duni na yasiyo rasmi, Mijini ambayo inakwenda kusaidia kuboresha elimu kwa watoto wenye makazi duni. Utafiti huo wa HakiElimu umefanywa kwa kushirikiana na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya…

Read More

Wanawake wasivyopenda kuolewa na wanaume aina hii

Wanawake wanaogopa sana kuolewa na watoto wa mama au labda tuseme wanawake hawapendi kabisa kuwa uhusiano na watoto wa mama. Mtoto wa mama ni mwanaume ambaye yupo karibu sana na mama yake kiasi kwamba licha ya kuwa mtu wazima lakini bado anataka ule uhusiano na mama yake uwe kama ilivyokuwa miaka ya nyuma alipokuwa mdogo…

Read More

BARRICK YADHAMINI KONGAMANO LA WANAFUNZI VYUO VIKUU VYA IRINGA NA DODOMA

Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning and Development wa Barrick Tanzania,Elly shimbi akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa kongamano lakuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania lililofanyika katika chuo hicho mwishoni mwa wiki kwaudhamini wa Barrick. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na…

Read More

Maandamano yanavyotumika kama silaha ya mabadiliko

Mataifa mbalimbali katika bara la Afrika na kwingineko duniani, yanashuhudia maandamano ya wananchi wanaoshinikiza mambo tofauti wanayotaka serikali katika mataifa yao ziyafanye kwa ajili yao. Licha ya madhara yanayojitokeza, maandamano hayo yamekuwa yakisababisha mabadiliko katika mfumo wa maisha yao, ikiwemo mabadiliko ya sheria au uamuzi wa viongozi ambao tunazingatia matakwa ya wananchi wanaoandamana. Mafanikio ya…

Read More

Kicheko kwa wanaume wenye vipara

Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Sheffield, Uingereza na wenzao kutoka Chuo Kikuu cha COMSATS nchini Pakistan, ndio waliogundua mafuta hayo. Kwa mujibu wa utafiti huo, mafuta yenye sukari (deoxyribose sugar) yana kemikali ya kaboni ambayo inasaidia kutokomeza upara. Wanasayansi waligundua hilo kibahati baada ya kuyapaka mafuta hayo kwenye sehemu ya mwili wa panya aliyekuwa amejeruhiwa…

Read More