Azam fc yatua kwa Mmorocco
MABOSI wa Azam FC wako katika harakati za kumsaka mrithi wa Yousouf Dabo aliyetimuliwa Septemba 3, mwaka huu kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya kikosi hicho na sasa taarifa zinasema ipo katika mazungumzo ya kumnasa Kocha Rachid Taoussi, raia wa Morocco. Taoussi aliyezaliwa Februari 6, 1959, inaelezwa yupo katika mazungumzo na viongozi wa…