Mashabiki wamkataa Folz Mbeya, uongozi wajibu
Baada ya kuibuka na ushindi katika mechi nne mfululizo msimu huu zikiwamo mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imesimamishwa na Mbeya City kwenye mwendelezo wa Ligi Kuu Bara wakati timu hizo zikishindwa kufungana. Hii ni mara ya kwanza Yanga inashindwa kupata ushindi baada ya kucheza mechi tano za mashindano msimu huu, huku mashabiki wakimtaka…