


JITOKEZENI KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA – NIDA
::::::::; Na Mwandishi Wetu, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi hususan kutoka makundi yenye mahitaji maalumu kujitokeza kwa wingi kujisajili ili kupata Vitambulisho vya Taifa, hatua ambayo itarahisisha upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii ikiwamo afya, elimu na huduma za kifedha. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho kutoka NIDA,…

Uzembe barabarani ajali zaua 25 ndani ya wiki
Dodoma. Janga la ajali limezidi kuwa tishio nchini baada ya watu 25 kupoteza maisha katika matukio tofauti ndani ya wiki moja, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baadhi yao wakiwa mahututi. Ajali hizo zilitokea kwa nyakati tofauti katika mikoa tofauti, zikiwemo Pwani ambako watu watano wa familia moja walipoteza maisha juzi, Mwanza (watano), Mara (sita), na Dodoma…

ONA itakavyounganisha Afrika Mashariki, kushusha gharama za mawasiliano
Arusha. Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeanza jitihada za kupanua mfumo wa mtandao wa pamoja (ONA) kwa kuunganisha huduma zinazoendeshwa kwa misingi ya takwimu. Lengo la mfumo huo ni kwa ajili ya kuboresha mawasiliano ya kikanda na kupunguza gharama za huduma ya mtandao kusafiri (roaming) miongoni mwa nchi wanachama. Upanuzi wa ONA unatarajiwa kujumuisha teknolojia…

KAMATI UTEKELEZAJI MKAKATI WA MUDA WA KATI WA MAPATO MIAKA 3 WAZINDULIWA DODOMA.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt Natu Mwamba amesema kuwa lengo kuu la Mkakati wa muda wa kati wa Mapato ni pamoja na kuweka misingi imara katika ukusanyaji wa Mapato,kuongeza makusanyo,kutambua na kuziba mianya ya ukwepaji wa kodi pamoja na kuimarisha imani kwa Wananchi na Wawekezaji katika mfumo wa Mapato….

Tunachoweza kujifunza kutoka Maonesho ya Kimataifa ya Biashara
Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya China, maarufu kama Canton Fair, yamepata umaarufu mkubwa duniani. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1957, upangaji, uratibu na usimamizi wake vimeyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa wafanyabiashara, maonesho hayo kwa sasa ni kitovu cha biashara kwa maelfu ya wafanyabiashara kutoka nchi 150 duniani wanaofika kununua na kuuza bidhaa. Katika sifa kubwa…

Mkutano wa viongozi zaidi ya 150 wa ulimwengu chini ya paa moja – na siku ambayo UN ilikuja chini ya shambulio la kigaidi – maswala ya ulimwengu
na Thalif Deen (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Septemba 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Septemba 18 (IPS)-Wakati mkutano wa kiwango cha juu cha Mkutano Mkuu unafanyika, Septemba 22-30-na viongozi zaidi ya 150 wa kisiasa wa ulimwengu katika mji-UN itakuwa katika hali iliyofungwa na usalama wa ziada. Na upele wa vitisho na…

MAWAKILI WA SERIKALI WATAKIWA KUENDELEA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA HIFADHI YA JAMII
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amewataka Mawakili wa Serikali kuyatumia mafunzo yanayotolewa kuhusu Hifadhi ya Jamii, katika kuhakikisha kuwa Sheria na Kanuni za Hifadhi ya Jamii zinalinda na kusimamia haki na maslahi ya Wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kuhusu…

DK.MWINYI AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 29
MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani akisema ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa lolote. Dkt. Mwinyi aliyasema hayo leo katika mkutano mkubwa wa kampeni wa Mgombea wa…

UBIA WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI WATAMBULISHWA KAMA INJINI YA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050
WADAU wa maendeleo, wasomi na wataalamu kutoka sekta binafsi na uma wamesema Tanzania imepiga hatua kupitia Dira 2025 licha ya changamoto za kiuchumi za kimataifa huku wakitaja kuwa kilimo bado ni sekta dhaifu kutokana na utegemezi wa mvua na ukosefu wa viwanda vya zana za kilimo na kushauri kuongezwa uwekezaji katika umwagiliaji, miundombinu ya uchumi…