Nondo za CUF kwa elimu ya Tanzania

Dar es Salaam. Wadau wa elimu nchini wamechambua ilani ya uchaguzi ya Chama cha Wananchi (CUF) ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 inayotoa dira ya kina juu ya sekta ya elimu nchini Tanzania wakisema ina mambo mazuri, tatizo ni ahadi kutotekelezwa. Ilani hiyo inaeleza mikakati ya kuhakikisha elimu bora, jumuishi na yenye tija kwa Watanzania wote…

Read More

Faida za Maji ya Nazi kwa Wagonjwa wa Gauti Unazopaswa Kujua

Gout ni ugonjwa wa kimetaboliki unaosababishwa na kuongezeka kwa kiwango cha asidi ya uric (uric acid) kwenye damu. Asidi hii ikizidi, hutengeneza fuwele ndogo zinazojikusanya kwenye viungo, hali inayosababisha maumivu makali, uvimbe na joto kwenye viungo, hasa vidole vya miguu, magoti na vifundo. Kwa mujibu wa Dkt. Nguyen Anh Duy Tung kutoka Kliniki ya Lishe…

Read More

Wacongo kumpa muhula wa Denis Sassou Nguesso?    

Dar es Salaam. Wananchi wa Jamhuri ya Kongo (Congo Brazzaville), wamepiga kura leo Jumapili Machi 15, 2026 kumchagua Rais wao mpya katika uchaguzi ambao wachambuzi wengi wanaona unaweza kumrejesha tena madarakani kiongozi mkongwe, Denis Sassou Nguesso. Takribani wapiga kura milioni 3.2 walijiandikisha kushiriki katika uchaguzi huo, lakini mchakato umeingia katika mjadala mkali baada ya vyama…

Read More

Watafiti wabaini aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee

Morogoro. Wataalamu na watafiti wa uyoga pori, wamesema tafiti mbalimbali zilizofanywa zimebaini kuwepo kwa aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee, hali inayoiweka nchi katika nafasi nzuri ya kukuza zao hilo katika soko la kimataifa. Sambamba na hilo, wamesema wameanza mkakati wa kuongeza tafiti za kisayansi ili kuimarisha uzalishaji wa zao hilo kibiashara na kulipendekeza…

Read More

Vijana 6,000 kufanya kazi nje, Serikali kuwachongea njia

Dodoma. Serikali imesema licha ya kutoa fursa kwa vijana kupata mafunzo ya uanagenzi bila gharama, mwitikio bado ni hafifu. Hata hivyo, imetangaza mkakati wa kuwaunganisha zaidi ya vijana 6,000 katika fursa za kimataifa, ambapo awamu ya kwanza vijana 1,000 watakwenda kufanya kazi nchini Qatar. Kauli hiyo imetolewa Jumanne Machi 3, 2026 na Waziri wa Nchi,…

Read More

Chama la Samatta hatarini kushuka daraja

KLABU ya Le Havre AC anayoichezea mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta iko kwenye nafasi mbaya na hatari ya kushuka daraja kama haitashtuka mwishoni. Le Havre iko nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi, nafasi ambayo siyo salama kutokana na tofauti ndogo ya pointi na timu zinazopigania kubaki kwenye ligi hiyo. Timu hiyo imekusanya pointi 26…

Read More