Aliyehukumiwa kifo kwa kumuua rafiki yake kwa sumu, kumkata viungo aachiwa huru
Mwanza. Mahakama ya Rufani iliyoketi Jijini Mwanza, imemwachia huru Shigela Masai ambaye mwaka 2021 alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kumuua rafiki yake kwa kumlisha sumu, kisha kukata ulimi na nywele na kuzipeleka kwa mganga. Kulingana na kosa lilivyokuwa, Masai au kwa jina lingine Mhoja Lukubanija alidaiwa kuwa aliweka sumu kwenye kinywaji ambacho rafiki yake Juma…