Doyo kugombea uenyekiti ADC, amkaribisha Msigwa

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo ametangaza dhamira ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa baada ya Hamad Rashid Mohammed kumaliza muda wake. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 6, 2024 jijini Dar es Salaam, Doyo amesema anatangaza kugombea nafasi…

Read More

Wengine 19 kesi ya uhaini wafikishwa mahakamani, mapingamizi ya utetezi yatupwa

Mwanza. Jumla ya watuhumiwa 19 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza na kusomewa mashitaka yanayowakabili katika kesi mbili tofauti. Washtakiwa hao ni wale waliokamatwa baada  maandamano yaliyozua vurugu siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba 29, 2025. Watu hao ni sehemu ya wale 172 waliokamatwa na kufunguliwa mashtaka katika Wilaya ya Nyamagana. Leo Alhamisi Novemba…

Read More

Uchaguzi ni kama dabi ya Kariakoo

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 unakuja kwa kasi, na kama kawaida. Maandalizi yamejaa maneno, porojo na hekaya za kila namna. Mtaani tunapishana na mabango, bendera, fulana, khanga na kofia za wagombea. Kwa kawaida kampeni ni kachumbari ya uchaguzi. Kila chama kikipiga tantalila zake, kila mwanasiasa akijiona kuwa staa wa siasa. Na wapiga kura wanamshangilia kama…

Read More