MAKAMU WA RAIS ATETA NA WATAALAM WA BIOTECHNOLOGY KUTOKA CUBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na ujumbe wa watalaam kutoka kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni hiyo Dkt. David Curbelo. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Juni 2024. Makamu wa…