Taifa Stars v Niger Mechi ya hesabu

KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars jioni ya leo kinatarajia kushuka kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar kuikabili Niger ikiwa ni mechi ya hesabu za kuisaka tiketi ya kwenda katika Fainali za Kombe la Dunia 2026. Baada ya kukosa tiketi ya moja kwa moja ya kushiriki fainali hizo za mwakani kutokana na Morocco kuinasa…

Read More

Hatari ya kifafa kwa wagonjwa wa kisukari

Kisukari ni ugonjwa sugu unaohitaji ufuatiliaji wa karibu kila siku. Mojawapo ya hatari kwa watu wenye kisukari ni kushuka kwa sukari kupita kiasi hali inayojulikana kwa jina la ‘hypoglycemia’. Ikiwa haitatibiwa mapema, ‘hypoglycemia’ inaweza kusababisha kifafa, kupoteza fahamu, au hata kifo. Hali hii ni hatari zaidi kwa watoto, hasa wale wanaotumia insulini mara kwa mara….

Read More

WAPIGAKURA WAPYA 224,355 KUANDIKISHWA KIGOMA

  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K akizungumza na waandishi wa habari mkoani Kigoma leo tarehe 29 Mei, 2024. Na Mwandushi wetu, KigomaWapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba…

Read More

OMO ahitimisha kampeni Zanzibar, akifanya mikutano 75

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud Othman, amehitimisha kampeni zake, akijivunia kufanya mikutano 75 tangu alipoanza. Ameitumia hotuba yake ya kuhitimisha kampeni hizo kwa kutoa shukrani na pongezi kwa makundi mbalimbali, likiwamo Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania, kwa kuendelea kuimarisha ulinzi katika…

Read More