Watoa huduma sekta ya madini waja kivingine
Dar es Salaam. Watoa huduma katika sekta ya madini wameanzisha umoja wao ambao utawawezesha kupeana taarifa na kuongeza ushiriki wa wazawa katika sekta ya madini. Umoja huo pia unalenga kuhakikisha watoa huduma hao wanakuwa miongoni mwa wanufaika katika Sh3.1 trilioni zinazotumika kila mwaka katika ununuzi wa madini. Mwamvuli huo uliopewa jina la Tamisa ikiwa ni…