ICC inatafuta vibali vya kukamatwa kwa viongozi wa Taliban juu ya mateso ya msingi wa kijinsia-maswala ya ulimwengu

Alhamisi, Mwendesha Mashtaka wa ICC Karim Khan aliomba vibali vya kukamatwa kwa maafisa wawili waandamizi wa Taliban: Kiongozi Mkuu Haibatullah Akhundzada na Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu Abdul Hakim Haqqani. Wanashutumiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa misingi ya mateso ya msingi wa kijinsia chini ya Amri ya Roma ya Korti, ambayo inaweka jukumu la…

Read More

Safari ya Mwabukusi TLS ilikuwa ngumu kama Lissu

Dar es Salaam. Licha ya milima na mabonde aliyopitia wakili Boniface Mwabukusi, magumu hayo hayakumzuia kushinda urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS). Misukosuko aliyopitia mbali na kuwekewa pingamizi na hatimaye kuenguliwa asigombee urais huo, pia amekumbana na matukio ya kukamatwa na polisi, kushtakiwa kwenye Kamati ya Maadili ya Mawakili na kupewa onyo, masuala…

Read More

Wasira aonya wanaotaka ubunge kwa rushwa CCM

Ngara. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) -Bara, Stephen Wasira, amesema ana taarifa za baadhi ya wanachama wanaotaka ubunge kuanza kuvunja maadili katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Hivyo, amewakumbusha wanaotaka ubunge na wabunge waliopo madarakani kuzingatia maadili, huku akitoa rai kwa wajumbe wa CCM, ambao watapiga kura kuchagua mgombea mmoja kati ya…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA MIOT YA INDIA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui…

Read More