Wataja vikwazo vinne elimu ya ufundi
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwa imeanza utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala mipya kwa elimu ya Sekondari, wadau wametaja vikwazo wa utoaji wa elimu ya amali ikiwamo ufinyu wa bajeti. Pia, wametaja kutoandaliwa kwa walimu kufundisha mitaala hiyo, ukosefu wa miundombinu na vifaa, uelewa mdogo…