Prof. Tibaijuka: Wizi wa kura upo
MWANADIPLOMASIA Prof. Anna Tibaijuka, ametaja kasoro za uchaguzi kuwa ni mbinu chafu za baadhi ya wasimamizi kuchelewa kufungua vituo vya kupigia kura kwa makusudi na wizi wa kura wa wazi wazi. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam … (endelea). Prof. Tibaijuka ameyasema hayo leo 14 Septemba 2024 jijini Dar es Salaam alipokuwa anazungumza kwenye…