Yanga yaifuata Silver Strikers, Ali Kamwe azungumzia yatakayomkuta Mabedi
Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers.Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amesema licha ya kuwa na kocha…