Mkoa wa Kagera wajipanga kuingiza mabilioni kupitia ndizi
Renatha Kipaka, Kagara Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatuma Mwasa amesema wamejipanga kuingiza kiasi cha sh 96 bilioni kupitia programu ya kilimo ya miaka mitatu kutokana na mpango wa kupanua ekari 10, 000 ili kuinua uchumi wa mkoa huo. Amesema hayo wakati kilele cha maadhimisho ya siku ya chakula duniani ambapo kwa mwaka huu yamefanyika…