
Ziara ya SADC Live Your Dream maandalizi yafikia pazuri
Wakati siku zikiyoyoma za kuelekea kwenye Ziara ya Barabarani inayodhamiria kuonesha ndoto za wengi zenye mitazamo chanya yenye kuleta utofauti kwenye jamii mengi yatarajiwa huku maandalizi yakitajwa kukamilika hivi karibuni Ziara ya Barabara ya SADC Live Your Dream ni tukio muhimu ambalo litalenga kukuza ubadilishanaji wa utamaduni, kujieleza kwa nia ya sanaa, Utalii wa SADC…