Ahoua ataweza kuivunja rekodi ya Kagere?
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua anaongoza orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 12, huku timu hiyo ikisaliwa na mechi nane kufunga msimu na kuwa na kibarua kizito cha kuifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Meddie Kagere akiwa anaitumikia timu hiyo. Kagere aliandika rekodi ya kuwa nyota wa kigeni aliyefunga mabao…