PROGRAMU YA ‘CODE LIKE A GIRL’ YAWAJENGEA UWEZO WA TEHAMA WASICHANA MKOANI DODOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Meneja wa Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania Kanda ya Kati ,Joseph Sayi (kulia) akizungumza na wanafunzi wasichana kutoka Kanda hiyo wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Udom Jijini Dodoma jana kwa ufadhili wa Vodacom. Meneja wa Kampuni ya Vodacom…

Read More

Kocha wa maafande acharuka | Mwanaspoti

KOCHA wa maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amewaonya mastaa wa timu hiyo kuacha tabia ya kudharau wapinzani wao, kwa sababu kwa kufanya hivyo inawaweka katika mazingira magumu ya kukipambania kikosi hicho kumaliza nafasi nne za juu. Akizungumza na Mwanaspoti, Mussa alisema hata mchezo waliochapwa mabao 3-1, dhidi ya Kiluvya United ulitokana na nyota wa…

Read More

Serikali kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema serikali inaendelea kushirikiana na viongozi wa dini kuhakikisha suala la maadili nchini. Jana, Chalamila alikua mgeni rasmi akimwakikisha Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, katika Ibada ya Maadhimisho ya Miaka 90 ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano, Upanga jijini Dar es Salaam. Alilitaka kanisa hilo kuendelea kujitafakari…

Read More

Mwanafunzi aliyefariki kwa ajali Babati azikwa

Mirerani. Mamia ya wakazi wa mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro mkoani Manyara wamejitokeza kumzika mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Endasak, wilayani Hanang’, Lidya Saitoti, aliyefariki dunia pamoja na wenzake wawili na dereva wa basi dogo walilokuwa wakisafiria kutoka Endasak kwenda jijini Arusha. Ajali hiyo ilitokea Agosti 31, 2024, eneo la Gajal, wilayani Babati, basi…

Read More

Posta Yasisitiza Mchango Wake kwa Wakulima Kupitia Usafirishaji wa Pembejeo na Bidhaa

  Shirika la Posta Tanzania limesisitiza dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya kilimo nchini kwa kusafirisha pembejeo, mbegu, na bidhaa mbalimbali kutoka kwa wauzaji hadi kwa wakulima katika maeneo yote ya Tanzania kwa gharama nafuu. Ikishiriki katika Maonesho ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, Shirika hilo limeeleza kuwa linachukua nafasi muhimu…

Read More

Mpasuko Chadema, G55 waliamsha | Mwananchi

Dar es Salaam. Kile kinachoonekana kuwa mpasuko ndani ya Chadema kimeendelea kukita kambi, huku muungano wa watia nia wa ubunge wanaounda umoja wa G55 ndani ya chama hicho, ukionya hatari ya makada kukimbilia vyama vingine kutafuta jukwaa la kugombea. Sambamba na hilo, umebainisha vitisho vinavyowakabili kutokana na msimamo wao, ukidai watatu kati yao wameandikiwa barua…

Read More