Damaro, Tchakei, Mwanengo walivyoyaanza maisha mapya Yanga
PALE Yanga kuna majembe mapya matatu. Emmanuel Mwanengo kutoka TRA United, Marouf Tchakei na Mohamed Damaro waliotokea Singida Black Stars. Majembe hayo yameanza kazi rasmi yakicheza mechi ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi 2026, michuano inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan, Unguja. Katika mechi ya juzi dhidi ya KVZ ambayo Yanga iliibuka na ushindi wa…