Samatta arudishwa Stars kuivaa DR Congo
KAIMU kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Hemed Morocco ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki katika maandalizi ya michezo miwili ya kuwania nafasi ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon 2025) dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo). Tanzania ambayo ipo kundi H ikiwa na pointi nne baada ya kutoka suluhu…