SERIKALI KUJENGA KITUO JUMUISHI CHA PARACHICHI RUNGWE
SERIKALI imeanza mchakato wa ujenzi wa kituo jumuishi cha huduma za parachichi ambacho kitasaidia kuhifadhi na kuchakata zao la Parachichi kitakachojengwa eneo la Kiwira Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Akizungumza baada ya Waziri Mkuu Kassim majaliwa ambaye yuko ziarani Mkoani Mbeya kuhoji kuhusu changamoto ya kuharibika kwa parachichi za wakulima katika eneo hilo, Mkurugenzi wa…