Yanga yarudi kileleni, rekodi mpya yaandikwa

Yanga yarudi kileleni, rekodi mpya yaandikwa YANGA imeendeleza rekodi katika Ligi Kuu Bara baada ya kuifumua KMC kwa mabao 6-1 kwenye Uwanja wa KMC Complex, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam, huku Stephane Aziz Ki akifunga hat trick inayokuwa ya pili msimu huu, ikiwamo ya kwanza ya Prince Dube. Matokeo hayo yameirejesha Yanga kileleni kwa…

Read More

Golugwa, wenzake wa Chadema waachiwa

Dar es Salaam. Wakili wa Golugwa, Dickson Matata ameliambia Mwananchi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-bara, Aman Golugwa ameachiwa usiku huu baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu kwa saa kadhaa. Matata ameeleza hilo leo Mei 13, 2025 kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es…

Read More

URA: Mwakani tunakuja kubeba kombe

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, timu ya URA, imekubali ushindani iliokutana nao msimu huu katika michuano hiyo imewapa funzo na kuahidi wakati ujao itaondoka na kombe. Hayo yamesemwa na kocha msaidizi wa kikosi hicho kutokea Uganda, Ssemuyaba Bashiru aliposema kundi A walilokuwepo halikuwa rahisi kutokana na kukutana na timu zenye ushindani, hivyo wanakwenda…

Read More

Kakolanya, Ambokile wavunja ukimya City

BAADA ya kipa Beno Kakolanya na mshambuliaji Eliud Ambokile kila mmoja kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mbeya City katika msimu mpya wa mashindano ikiwa imerejea Ligi Kuu Bara, wachezaji hao wametoa neno wakisema wanaamini mbele yao wana kazi ngumu ya kuisaidia kufanya vizuri 2025-2026. Msimu uliopita Kakolanya alisajiliwa na Singida Black Stars akitokea Simba,…

Read More

Mange, Aslay waburuzwa kortini wadaiwa fidia Sh5 bilioni

Dar es Salaam. Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni. Aslay pia anajulikana ka majina ya Dogo Aslay au Dingi Mtoto. Mange ni maarufu kwenye mitandao ya Instagram, X (zamani…

Read More

Maajabu ya Ahoua CAF, akifunga tu kuna jambo

MFUNGAJI wa bao pekee katika mchezo wa kwanza ulioipa Simba ushindi wa 1-0 dhidi ya Stellenbosch, Jean Charles Ahoua, ana maajabu yake kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu. Ahoua mwenye mabao matatu sawa na Kibu Denis katika michuano hiyo wakiwa vinara wa utupiaji kikosini hapo, maajabu yake ni kwamba akifunga Simba haipotezi…

Read More