RC SIMIYU AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUTUNZA AMANI,KUSIMAMIA HAKI

Na Mwandishi Wetu,Simiyu MKUU wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu wa wananchi kutunza amani na kama kuna changamoto au kero basi yeye pamoja na viongozi wengine wa mkoa wapo tayari kutafuta majawabu kwa njia inayostahili. Kihongosi ametoa kauli hiyo alipokuwa anazungumza katika Machimbo ya Ikinabushu mkoani Simiyu na kupokelewa na maelfu ya wananchi…

Read More

Wananchi kaskazini waitwa kutoa maoni dira ya Taifa

Arusha. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufungua kongamano la ukusanyaji wa maoni ya wananchi kwa ajili ya maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kesho Julai 27, 2024, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (AICC). Kongamano hilo la pili la kikanda, litakalofanyika Arusha likiwashirikisha wananchi wa kanda ya kaskazini, limeandaliwa na Tume ya Mipango…

Read More

Fei Toto, Aziz KI vita ni kali

Bao moja alilolifunga nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar limemfanya kufikisha mabao 15 ya Ligi Kuu Bara akiwa sambamba na nyota wa Yanga, Stephane Aziz Ki waliopo kwenye vita ya ufungaji bora. Feisal alifunga wakati Azam ikiitandika Mtibwa Sugar mabao 2-0, jana na kuendeleza kushikilia…

Read More