Kesi ya ‘vigogo wa Kigamboni’ wanaodai kuchepusha fedha za Tamisemi, kuunguruma Januari 13
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Januari 13, 2026 kuanza kusikiliza ushahidi wa upande w Jamhuri katika kesi ya kuchepusha fedha na kuisababishia Wizara ya Tamisemi hasara ya Sh165 milioni, inayowakabili washtakiwa 13, wakiwemo wakuu wa idara wa manispaa ya Kigamboni. Hatua hiyo inatokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na washtakiwa…