Dereva afariki dunia, watatu wajeruhiwa ajali ya lori Njombe

Njombe. Mtu mmoja ambaye ni dereva amefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa kufuatia ajali ya gari aina ya Fuso kutumbukia korongoni katika Kijiji cha Igumbilo, Kata ya Lupila, Wilaya ya Makete mkoani Njombe. Ajali hiyo imetokea baada ya dereva kushindwa kulimudu gari lake na hatimaye likatumbukia kwenye korongo na kusababisha kifo chake, huku watu wengine…

Read More

WAKURUGENZI WA NBAA WATEMBELEA BANDA LA BODI

Mkurugenzi wa Huduma za Shirika NBAA CPA Kulwa Malendeja pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu, APC Hotel & Conference Center CPA Wenceslaus W. Mkenganyi wakiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya…

Read More

Walimu wa sayansi, hisabati wafundwa matumizi ya Tehama

Iringa. Jumla ya walimu wa sekondari 665 wa masomo ya hisabati na sayansi mikoa ya Dodoma, Mbeya na Iringa pamoja na wathibiti ubora (SQA) wapatao 17, wamepatiwa mafunzo ya ufundishaji na ujifunzaji wa masomo kupitia Teknolojia na Habari na Maendeleo (Tehama). Mafunzo hayo yanayoendeshwa na mradi wa kuimarisha elimu ya sekondari unaotekelezwa na Sequip, Ofisi…

Read More

Sababu uzalishaji madini ya vito vya thamani kupaa

Ili ukuaji wa ajira zinazozalishwa nchini na mapato yatokanayo na madini uonekane, uongezaji thamani umeendelea kuwa jambo linalopigiwa chapuo na watu tofauti. Uongezaji thamani utaifanya nchi kunufaika zaidi na kuingiza fedha nyingi kwa kuuza bidhaa zilizotengenezwa badala ya kuuza madini ghafi. Rai hii inatolewa wakati ambao uzalishaji wa madini ya vito vya thamani umeongezeka hadi…

Read More