UVCCM wajifungia wilayani Hai kufundana kuelekea uchaguzi mkuu
Moshi/Shinyanga. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewaonya vijana juu ya usaliti, fitna, mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, ili kujihakikishia ushindi wa kishindo. Pia umewasisitiza kuzingatia maadili, uadilifu na kudumisha umoja na mshikamano huku ukisema CCM lazima ishinde katika uchaguzi mkuu ujao kwa lengo la kuendelee kutatua shida na changamoto…