
THBUB YATOA MAFUNZO KWA JESHI LA POLISI KUHUSU HAKI ZA BINADAMU NA UCHAGUZI MKUU 2025
Dar es Salaam, Septemba 18, 2025 KATIBU Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bw. Patience Ntwina, amesema uchaguzi ni mchakato wa kidemokrasia unaopaswa kuendeshwa kwa misingi ya amani, uhuru na heshima kwa haki za binadamu. Amezitaka taasisi zote kuhakikisha kuwa haki hizo zinalindwa na kutekelezwa kabla, wakati na baada ya…