TRA YAANDIKA HISTORIA KWA KUVUKA MALENGO YA MAKUSANYO KWA MIEZI 12 MFULULIZ
::::::::: Yakusanya Shilingi Trilioni 32.26 kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Yatoa Shukrani kwa Walipakodi kwa Mafanikio Hayo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeandika historia kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake kwa kuvuka malengo ya makusanyo kwa kila mwezi katika kipindi cha miezi 12 mfululizo. Katika mwaka wa fedha 2024/2025, TRA imekusanya jumla ya Shilingi…