Malasusa: Utekaji, mauaji yafike mwisho

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, amelaani matukio ya utekaji na mauaji ya raia na kusema kanisa halitaki kusikia uhalifu huo tena. Anaripoti Restuta James, Kilimanjaro … (endelea). Ameyasema hayo leo Septemba 17, 2024, mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko, wakati wa ibada ya maziko ya…

Read More

Usaliti, fitna vyaundiwa mkakati UVCCM

Moshi/Shinyanga. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewaonya vijana juu ya usaliti, fitna, mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, ili kujihakikishia ushindi wa kishindo. Pia umewasisitiza kuzingatia maadili, uadilifu na kudumisha umoja na mshikamano huku ukisema CCM lazima ishinde katika uchaguzi mkuu ujao kwa lengo la kuendelee kutatua shida na changamoto…

Read More

Madaraja yanayounganisha mikoa ya kusini kukamilika Desemba 24

Kilwa. Wakati ujenzi wa madaraja ya Somanga, Mtama, Kitapwa, Mikereng’ende na Matandu, yaliyoharibiwa na mvua za El Niño mkoani Lindi, ukiwa umekamilika kwa asilimia 88, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewaagiza makandarasi kuongeza kasi ya kazi ili ujenzi huo ukamilike kwa wakati. Madaraja hayo, ambayo yaliharibu barabara kuu inayounganisha Dar es Salaam na mikoa ya…

Read More

Aliyeua ndugu wawili kwa petroli wahukumiwa kunyongwa

Moshi. Hivi unajua madhara ya kujichukulia sheria mkononi? Dereva bodaboda Valerian Massawe, amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kuwaua kikatili ndugu wawili, waliowatuhumu kuiba pikipiki. Tukio hilo lilitokea Februari 9, 2022 huko Kibosho Wilaya ya Moshi, kundi la watu liliwakamata ndugu hao, kuwashambulia kwa visu na mawe kisha kuwatupa kwenye dimbwi na kuwamwagia petroli kisha kuwachoma…

Read More

Vizuizini vya wafanyikazi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, walinda amani waliouawa Sudan walirudishwa nyumbani, mashambulizi nchini Ukraine – Masuala ya Ulimwenguni

Tukio hili la hivi punde, lililotokea Alhamisi, linafanya jumla ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wanaoshikiliwa na Houthi kufikia 69. Kuzuiliwa huku kumesababisha uwasilishaji wa usaidizi wa kibinadamu katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi kutotekelezeka, na kuathiri moja kwa moja mamilioni ya watu wanaohitaji msaada na kuzuia ufikiaji wao wa msaada wa kuokoa maisha, Msemaji wa…

Read More