WAHANDISI WASHAURI NCHINI WATAKIWA KUSIMAMIA KWA UKARIBU UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Naibu Katibu Mkuu anayesimamia miundombinu OR-TAMISEMI Mhandisi Rogatus Mativila amewataka Wahandisi Washauri wanaosimamia miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara nchini kusimamia kwa ukaribu miradi hiyo ili ikamilike kwa wakati. Mhandisi Mativila ameyasema hayo leo tarehe 10 Juni,2024 wakati akikagua ujenzi wa jengo la ofisi la wahandisi katika manispaa ya Tabora ambalo lipo chini ya mradi…

Read More

Rais Dk.Mwinyi atembelea kiwanda cha INDESSO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na ujumbe wake, ametembelea Kiwanda cha INDESSO cha kusarifu majani ya mkarafuu na kutengeneza mafuta kwa matumizi mbalimbali kama vile dawa na manukato, kilichopo Cileungsi, Jakarta, Indonesia. Akiwa katika kiwanda hicho, Rais Dk. Mwinyi amejionea hatua mbalimbali za kusarifu majani…

Read More

Huko Championship vita inaendelea | Mwanaspoti

KIVUMBI cha Ligi ya Championship kinaendelea kurindima ambapo baada ya leo kuchezwa michezo mitatu kesho mingine mitatu pia itapigwa katika viwanja mbalimbali, huku kila timu ikisaka pointi tatu ili kujiwekea mazingira mazuri huko mbeleni. Mchezo wa mapema saa 8:00 mchana utapigwa kwenye Uwanja wa Nyankumbu Geita ambapo wenyeji Geita Gold iliyoichapa mabao 2-1, Cosmopolitan mechi iliyopita…

Read More

UHURU USIO NA MIPAKA NI FUJO-PROF. KABUDI.

……………. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi  amesema  Vyombo vya habari vimechangia katika utekelezaji wa 4R za Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwakuwa  ni sekta muhimu katika kupeleka ujumbe kwa jamii. Aidha, Prof. Kabudi  amewataka Wanahabari kufanyakazi kwa kuzingatia maadili , Uhuru  na taratibu za taaluma hiyo ili kupunguza  changamoto zinaweza…

Read More

Winga Simba aibukia Mlandege | Mwanaspoti

WINGA wa zamani wa Simba, Rashid Juma Mtabigwa, ameonekana akiichezea Mlandege katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, huku kocha msaidizi wa kikosi hicho, Sabri Ramadhan ‘China’ akitoa ufafanuzi wa uwepo wa nyota huyo mchachari. Katika mechi hiyo ambayo Mlandege ilifungwa 3-1 na Singida Black Stars ikichezwa…

Read More