FISI WAHARIBIFU WAZIDI KUDHIBITIWA, SIMIYU NA KONGWA.

Na Sixmund Begashe – Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuongeza jitihada zaidi za kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu hususani Fisi katika maeneo mbalimbali hapa nchini ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuishi kwa amani na usalama. Akizungumzia jitihada hizo Jijini Dodoma, Mkurugenzi Kitengo cha Uratibu wa Jeshi la Uhifadhi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACC) Fidelis…

Read More

EQUITY BANK YADHAMINI MKUTANO WA WAKANDARASI WANAWAKE, YAPANIA KUINUA UWEZESHAJI WA KIUCHUMI

::::::::: Equity Bank Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kukuza huduma za kifedha kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSEs na SMEs) kwa kudhamini Mkutano Mkuu wa Chama cha Wakandarasi Wanawake Tanzania (TWCA),hatua hii inalenga kutoa mchango wa moja kwa moja katika juhudi za kitaifa za kuwawezesha wanawake kiuchumi, hususan katika sekta ya ujenzi inayokua kwa…

Read More

Ahadi ya Serikali kurahisisha utaratibu biashara changa

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Madini, Dk Doto Biteko ametoa maagizo matatu kwa wizara yanayolenga kutatua changamoto zinazolalamikiwa na wabunifu wa biashara changa na bunifu (startup), ikiwemo kukosekana mitaji. Maagizo hayo yanalenga kutengeneza mazingira rafiki na kurahisisha ufanyaji wa biashara kusaidia ukuaji wa uchumi na kuzalisha ajira kwa vijana. Maagizo hayo…

Read More

MKOA WA LINDI KUFUFUA NA KUANZISHA VIWANDA VIPYA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na kusikiliza kero na maoni ya wafanyabiashara na wawekezaji wa Mkoa wa Lindi wakati  akihitimisha ziara ya siku sita mkoani humo yenye kauli mbiu isemayo ‘Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone’ inayolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Viwanda na…

Read More

Morocco atua, afunguka ajira yake Simba

KOCHA Hemed Suleiman ‘Morocco’ amewasili jijini Dar es Salaam, tayari kwa kupokea jukumu jipya la kuifundisha Simba kwa muda, huku akifunguka kazi atakayokutana nayo. Morocco, amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi, akitokea nyumbani kwake Zanzibar, ikiwa ni siku moja tangu jana usiku atangazwe kuwa kocha wa Wekundu hao. Akizungumza mara…

Read More