Lishe inavyotajwa kipaumbele kukuza ufaulu shuleni
Dar es Salaam. Wakati maadhimisho ya siku ya lishe kitaifa yakitarajiwa kufanyika kesho Novemba 21, 2025 mkoani Ruvuma, Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) imesema wanafunzi wa shule za msingi wanaopata chakula cha mchana wanafanya vizuri kwenye masomo ikilinganishwa na wanaoshinda njaa. Imewasisitiza wazazi na walezi nchini kushiriki katika michango ya lishe mashuleni ili…