Deni la Taifa la Sh1 trilioni lilivyoibua mjadala Zanzibar
Unguja. Mkutano wa 15 wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar umehitimishwa Juni 27, huku miongoni mwa hoja zilizotawala mjadala ikiwa kuhusu deni la Taifa la Sh1 trilioni. Katika mkutano huo uliokaa vikao 30 kujadili bajeti za wizara 18, wajumbe wa baraza walijadili na kuipitisha bajeti ya Serikali yenye mapato na matumizi ya Sh5.1 trilioni. Mbali ya…