Wananchi watakiwa kufichua mapapa wa ‘unga’

Unguja. Wananchi wa Zanzibar wametakiwa kuachana na muhali na kushirikiana kwa dhati na vyombo vya dola kuwafichua watu wakubwa wanaoingiza dawa za kulevya. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Maryam Juma Sadala Juni 26, 2025, akizungumza baada ya kushiriki usafi katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya…

Read More